Afisa Tarafa Kata ya Poli Jiliki Milinga Mgeni Rasmi katika Tamasha la Motisha kwa walimu wa shule za Sekondari Halmashauri ya Meru akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda amewataka walimu kuendelea kudumisha upendo baina ya walimu kwa walimu na walimu kwa wanafunzi ili kusaidia kutatua changamoto zinazojitokeza kwa haraka na kusaidia kuongezea ufaulu ndani ya Halmashauri.
Jiliki amezungumza hayo wakati wa tamasha la kuwapongeza walimu na kutoa motisha kwa walimu kwa kazi nzuri wanayoifanya lililoandaliwa na Idara ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru Leo Tarehe 25 Julai 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa