Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Arumeru Bw. Deo Mtui amewata viongozi mbalimbali walioshiriki katika Mkutano Mkuu wa Wilaya wa Vyombo vya watoa huduma ya Maji Ngazi ya Jamii, kuhakikisha wanakemea vitendo vya rushwa katika kipindi hichi tunapoelekea uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwezi Oktoba 2024.