Msimamizi wa Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa Mwl. Zainabu J. Makwinya anawakumbusha Wananchi wote kujitokeza kupiga kura siku ya Tarehe 27 Novemba, 2024 na kuchagua Viongozi katika ngazi ya Vijiji na Vitongoji katika maeneo yao.
"Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa