• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

TUNZENI SIRI ZA WAGONJWA - MWENYEKITI MERU DC

Imewekwa: December 1st, 2023

Na Annamaria Makweba,


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mhe. Jeremia Kishili amewataka watoa huduma ya Afya kutunza Siri za wagonjwa wanaowahudhumia hasa wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Ameyasema hayo katika Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Dunia ambayo hufanyika kila mwaka Disemba Mosi na kwa mwaka huu 2023 Halmashauri ya Wilaya ya Meru  imeadhimisha siku hiyo katika Ukumbi wa Chuo cha Mifugo Tengeru huku Kauli mbiu ikiwa ni JAMII IONGOZE KUTOKOMEZA UKIMWI.

Aidha, Mhe.Kishili Amewataka  watoa huduma ya Afya kuwafuatilia wale wote wenye maambukizi ya VVU ambao hawatumii dawa waanze kutumia Dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI ili waweze kuishi kwa Muda Mrefu ikiwa ni pamoja na kutowanyanyapaa waathirika wa VVU.

Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeungana na Watanzania kote nchini kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani ambapo Mganga Mkuu Halmashauri hiyo, Dr. Evarist Chiweka ameeleza kuwa asilimia 71% ya watu wenye maambukizi wanapata matibabu na lengo ni kuhakikisha kutokomeza maambukizi mapya hadi kufikia mwaka 2030.

Hata hivyo, katika Maadhimisho hayo, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya pamoja na Viongozi wengine waliwasha mishumaa kama ishara ya kuwaombea na kuwakumbuka wale wote waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI.

Kwa upande wa washiriki ambao wamejitokeza katika maadhimisho hayo, wametoa shukrani kwa idara nzima ya Afya hususani kwa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwani wamekuwa wakipatiwa huduma ambazo ni sahihi. Huduma zilizotolewa ni pamoja na Upimaji wa Virusi vya UKIMWI, kupima Presha na Kuchangia Damu.



Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa