• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

UADILIFU NA UWAJIBIKAJI WAHIMIZWA KWA MAAFISA WAANDIKISHAJI VYETI VYA KUZALIWA.

Imewekwa: May 7th, 2021

Wito watolewa kwa maafisa waandikishaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri chini ya miaka 5  kuwa waadilifu  wakati wa zoezi Hilo litakalo anza tarehe 11 MEI 2021 katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.


Dkt.Maneno Focus ambaye amwemwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, amewataka waandikishaji wasaidizi hao kufuatilia kwa makini mafunzo hayo yatakayo wawezesha kutekeleza zoezi la uandikishaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 kwa ufasaha kama ilivyokusudiwa.

Aidha , Dkt.Focus ametoa Wito kwa waandikishaji hao kuwa waadilifu na kuwajibika wakati wa uandikishaji "zoezi hili ni nyeti linahitaji UADILIFU mkubwa"amehimiza Dkt.Focus.Halmashauri ya Wilaya ya Meru imejiwekea lengo la kuwafikia watoto 31,400  wenye umri chini ya miaka 5 ambao hawana vyeti vya kuzaliwa.

Dkt.Focus  amehitimisha kwa kutoa wito kwa wazazi wenye watoto chini ya miaka mitano ambao hawana vyeti vya kuzaliwa kufika ofisi za Kata na vituo vya kutolea huduma za afya  kuanzia siku ya Jumatatu ya tarehe 11 Mei   ili kutengenezewa vyeti bila gharama yote.

Restuta Mvungi ambaye ni mratibu wa zoezi Hilo amesema wazazi watatakiwa kufika kwenye vituo vya uandikishaji vilivyopo katika Kata zote 26 za Halmashauri hiyo wakiwa natangazo la kizazi au Kadi ya Kliniki ikiwa na jina la mtoto na majina matatu ya wazazi wote wawili au cheti Cha ubatizo nk.

Amefafanua kuwa zoezi Hilo litadhumu kwa muda wa Siku 12 za kampeni uandikishaji Kuanzia tarehe 11 hadi 22 Mei 2021 na baada ya hapo litakuwa endelevu.

Aidha zoezi la uandikishaji watoto wenye umri chini ya miaka 5 katika Halmashauri ya Meru litafanyiwa katika ofisi za Watendaji wa Kata 26  za Halmashauriya Wilaya ya Meru pamoja na vituovya kutokea huduma za afya.

Ikumbukwe  zoezi hilo litafanyika katika Mkoa wa Arusha na Manyara likitoa fursa kwa watoto kutambulika .

Dkt.Maneno Focus alizungumzia wakati wa mafunzo.

Bi.Restituta Mvungi akizungumza wakati wa mafunzo

Waandikishaji Wasaidizi wakati wa mafunzo

Waandikishaji Wasaidizi wakati wa mafunzo

Waandikishaji Wasaidizi wakati wa mafunzo


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa