Kuelekea "Land Rover Festival" inayotarajiwa kuanza Tarehe 12-14. 2024 Mkoani Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Meru imejipanga kuunga juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul C. Makonda kwa kuendelea kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakazi na kusambaza ujumbe wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaowafikia Wananchi wote.
Hakuna kupoa.
"Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi Jitokeze kushiriki Uchaguzi"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa