Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Frola Msilu ambaye pia ni Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Meru amepokea wageni kutoka Shirika la USAID-Kizazi hodari walioambatana na wafadhili wa Shirika hilo Kwa Lengo la kupata taarifa ya Utendaji kazi kwenye Miradi inayofadhiliwa na Shirika hilo lakini pia kutembelea na kukagua Maendeleo ya Miradi hiyo Ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru hii ikiwa ni muendelezo wa vikao baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Taasisi ya USAID-KIZAZI HODARI kwa Lengo la kuleta utendaji kazi Bora na Miradi iliyoanzishwa kuwa na Tija kwa Jamii na wanafuaika wa Miradi hiyo.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa