Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia wananchi kuwa, Halmashauri inauza viwanja 4 vilivyopo eneo la Madiira.Aidha, Mkurugenzi anawatangazia Wananchi kuwa uuzaji wa viwanja katika mradi wa viwanja Ngurutoto unaendelea ambapo bei ni shilingi 19,000 kwa mita mraba.