Uzinduzi wa awamu ya pili wa kampeni ya Taifa ya Usafi wa Mazingira unaofanyika leo katika viwanja vya Shule ya msingi Changombe mgeni rasmi akiwa ni Mhe.Makamu wa Raisi Samia Suluu moja ya tukio katika uzinduzi huu ni kukabithi zawadi kwa Majiji ,Manisipaa na Halmashauri zilizofanya vizuri mwaka huu 2017 ,kwenye kampeni za Kitaifa za Usafi wa Mazingira
Halmashauri ya Meru ni Halmashauri pekee itakayo kabithiwaa Gari aina ya Nissan na kijiji chake cha Nambala Kata ya Kikwe kitakabithiwa Pikipiki.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa