Uzinduzi wa chanjo ya UVIKO -19 katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru utafanyikia siku ya Kesho tarehe 03 Agosti 2021 kwenye Kituo cha afya Usa-River (Leganga).
Muda ni saa 3:00 Asubuhi .
UVIKO - 19 INAZUILIKA
CHUKUA TAHADHARI
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa