• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

VIJANA 42 KUPATA MAFUNZO YA UJUZI MBALIMBALI KUPITIA MPANGO WA VOCHA YA MAFUNZO INAYOTOLEWA NA SERIKALI KUPITIA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI.

Imewekwa: February 26th, 2018

Vijana 26 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wamekabidhiwa vocha za ruzuku ya ada itakayowawezesha kupata mafunzo ya ufundi bila malipo kwenye vyuo mbalimbali Nchini.

Afisa vijana wa Halmashauri ya Meru Ndg.Lily  A. Msemo ameeleza vijana 42 wa halmashauri hiyo walikidhi vigezo vya kupata vocha ya ruzuku ya ada ambapo leo vijana 26 wamekabidhiwa  vocha hizo na waliobaki watakabidhiwa pindi watakapo jitokeza.

Meneja wa bodi ya mikopo kanda ya kaskazini Patrick shoo amefafanua kuwa utoaji wa Vocha za ruzuku ya ada ni Azma ya serikali  kuwawezesha vijana kupata ujuzi ili kuweza kujiajiri wenyewe, kuajiriwa,kujikimu kimaisha pia  kutoa mchango kwenye jamiii na Taifa kwenye kuelekea uchumi wa kati.

Ndg.Shoo amefafanua kuwa kijana atapata Vocha ya ruzuku ya ada endapo atakua na sifa zifuatazo ,kuwa raia wa Tanzania,umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 30 na awe anatoka kwenye familia duni  pia mefafanua  zoezi hilo la utoaji vocha ya ruzuku ya ada ni la majaribio ambapo limeanza kwa mikoa ya Arusha,Dodoma,Manyara na Singida

Aidha Shoo ameeleza Vijana wa 179 wa Arusha ni miongoni mwa vijana 1074 walionufaika katika mikoa iliyotajwa na vijana wengine ambao fomu zao za maombi zilikuwa na mapungufu mbalimbali watapatiwa vocha zao baada ya kurekebisha mapungufu hayo pia amefafanua zaidi ya vijana 32,000 watanufaika na mpango huo Nchi nzima ambao umelenga kuwaweza vijana kupata ujuzi katika maeneo ya Ujenzi,Nishati,Kilimo,utalii na ukarimu ,usafirishaji na lojistiki pamoja na teknolojia ya mawasiliano na habari.

ikumbukwe kuwa zoezi la utoaji wa vocha ya ruzuku ya ada  kwa vijana linafanyika kwa awamu hivyo vijana wengine  bado wananafasi ya kupata fursa hii  zaidi ya vijana 300 watanufaika.

Picha za tukio.


Meneja wa bodi ya mikopo kanda ya kaskazini Patrick shoo akimkabidhi  Dickison T. Pallangyo vocha ya ruzuku ya ada kwa 

Meneja wa bodi ya mikopo kanda ya kaskazini Patrick shoo akimkabidhi Evenlight  vocha ya ruzuku ya ada kwa 

picha ya pamoja  (wa pili  kushoto) Afisa vijana wa Halmashauri ya Meru Ndg.Lily  A. Msemo ,Meneja wa bodi ya mikopo kanda ya Kaskazini na vijana wakionesha vocha za ruzuku ya ada walizo kabithiwa

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa