VIONGOZI ARUMERU WASHIRIKI MAZISHI YA MSHILI MKUU WA WAMERU
Imewekwa: February 15th, 2024
Viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mhe. Dkt. John D. Pallangyo, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Joshua Nassari, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Seleman Msumi , Wajumbe wa Baraza za Madiwani Halmashauri ya Meru wameshiriki ibada ya Maziko katika Mazishi ya Mshili Mkuu wa Wameru Mzee Ezron Sumari.
Bwana ametoa, bwana ametwaa, Jina la bwana lihimidiwe.