Wagombea mbalimbali kutoka vyama mbalimbali vya Siasa wameonyeshwa kufurahishwa na huduma ya kupokelewa na namna walivyohudumiwa wakati wauchukuaji wa fomu za uteuzi pamoja na wakati wa urudishaji
Akiongea mara baada ya kukabidhi fomu Mch.Anael Roiya Nassari kutoka chama cha ACT ametoa pongezi kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuwa na utaratibu wa wazi na huru unaoruhusu ushiriki wa vyama vingi bila upendeleo.
Aidha Singa Maulidi Kalekwa ameeleza namna alivyopokelewa vyema na kueleza kuwa kwa namna alivyo ona ndani ya Jimbo la Arumeru uchaguzi utakuwa wa huru na wahaki.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa