• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU WATAKIWA KUWEKA TAARI KATIKA MFUMO WA TAARIFA ZA WANAFUNZI (PReMS)

Imewekwa: February 13th, 2020

Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Ndg.Emmanuel Mkongo wakati akifungua mafunzo ya mfumo wa taarifa za wanafunzi PReMS kwa Wakuu wa Shule za Sekondari za Serikali na binafsi yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo.      

Mkongo amesema  matumizi  ya mfumo yatarahisisha utendaji ambapo muda uliokuwa unatumika kujaza taarifa na kuwasilisha Wilayani utatumika  kuongeza kiwango cha taaluma.                    

Aidha, Mkongo amesisitiza ujazaji wa taarifa katika mfumo ili kuwa na kumbukumbu zitakazo  tumika kwa maswala mbalimbali ikiwa ni pamoja na uhamisho wa wanafunzi.          
Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri hiyo Mwl.Emmy Mfuru amewasisitiza walimu hao kuhakikisha wanalinda Nywila za kuingia katika mfumo huo ambao unamtaka Mkuu wa Shule na Mwalimu wa Taaluma pekee kuingia na kutumia. Aidha, Mwl.Emmy  Mfuru ametoa wito kwa Wakuu Shule kuhakikisha wanafanya kazi kwa wakati kwenye mfumo huo "hakikisheni uamisho wa wanafunzi unachukua siku chache"amesisitiza Afisa elimu.          

Mafunzo hayo ya matumizi ya mfumo wa taarifa za Wanafunzi wa Shule za sekondari yamehusisha walimu Wakuu na Walimu wa taaluma kutoka shule za Sekondari za Serikali 35 na Shule za sekondari za binafsi 31 zilizopo katika  Halmashauri ya Wilaya ya Meru .

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Ndg.Emmanuel Mkongo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo PReMS. 

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Walimu wa  Taluma wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReMS.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Ndg.Emmanuel Mkongo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo PReMS. 

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReMS.

Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Emmy Mfuru .

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReMS.

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReMS.

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReMS.

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReMS.

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReMS.

Wakuu wa Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa mafunzo ya mfumo wa PReM.

Mwezeshaji wa mafunzo ya mfumo wa PReMS Ndugu Imani Baharia akitoa maelekezo kwa wanasemina namna ya kutumia mfumo wa PReMS

Afisa Taaluma Mwl.Neema mbiyo akiwasikiliza Wakuu wa shule wakati wa mafinzo

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa