• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WALIMU WAPATIWA MAFUNZO YA MITAALA ILIYOBORESHWA

Imewekwa: June 8th, 2024

WALIMU WAPATIWA MAFUNZO KABILISHI YA MITAALA ILIYOBORESHWA ELIMU AWALI NA MSINGI.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya amefungua Mafunzo Kabilishi kwa Mitaala iliyoboreshwa ya Elimu ya Awali na Msingi yaliyohudhuriwa na Walimu Wakuu  shule za Awali na Msingi katika Halmashauri ya Meru.

Lengo kuu la Mafunzo hayo ikiwa ni kuwajengea uwezo wa uelewa walimu kusimamia na kutekeleza Mitaala iliyoboreshwa kwa ngazi ya Elimu ya Awali na Msingi.

Aidha, Makwinya amewapongeza Walimu Wakuu wa Shule za Msingi kwa utendaji kazi wao na kuwataka kutumia ofisi kama chumba cha kutatua changamoto zinazowakabili katika Shule zao.

Pia, amewataka walimu kutokata tamaa kutokana na mazingira wanayokumbana nao kwani mazingira magumu ndio yanayomuonyesha mtu utendaji kazi wake. ameyazungumza hayo akitoa ushuhuda wa yeye alivyoanza kazi mpaka alipofikia hivi sasa.

 "Mimi nimeanza kazi kulikuwa hakuna majengo kama haya nimeanza kazi nikiwa Mwalimu shule inajengwa kwa kusimikwa Miti ndio wanafunzi wanasoma lakini Leo hii niko hapa,  hivyo niwatie moyo ya kwamba mazingira unayofanyia kazi unaonekana na wakati mwingine tunapima uwezo wako" amesema Makwinya.

Hata hivyo, amewatakia Mafunzo mema na kuelekeza Mafunzo hayo yakawe tija kwa wanafunzi wetu kwa kuzalisha wanafunzi Bora na sio Bora wanafunzi.

Mafunzo hayo yanaendeshwa katika Shule ya Msingi Imani  iliyopo Kata ya Usariver kwa siku mbili.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa