Afisa anaeshughulikia Maswala ya Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Edward Bujune amewataka Wananchi kuniamini Serikali hasa katika hili zoezi la kidemokrasia la kuchagua viongozi kupitia chaguzi.
Ameyasema hayo katika studio za Radio Triple A Fm zilizopo Jijini Arusha
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa