Wanafunzi 109 wapangwa kwa awamu ya pili katika shule ya sekondari ya Nshupu baada ya vyumba 2 vya madarasa kukamilika.
Aidha, Jumla ya Wanafunzi 209 walifaulu na kuchaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari Nshupu , kutokana na ukosefu wa vyumba 2 vya madarasa wanafunzi 100 pekee Walipangwa kwa awamu ya kwanza huku 109 wakisubiri kukamilika kwa vyumba 2 vya madarasa.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa