Wanafunzi 120 wa kidato cha kwanza wapangwa kwa awamu ya pili katika shule ya sekondari Kikwe .
Aidha jumla ya Wanafunzi 270 waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na Shule ya sekondari Kikwe kwa mchanganuo wa Wav 132, Was 138.
Wanafunzi 150 walipangwa kwa awamu ya kwanza Wav 75, Was 75, na wanafunzi 120 walisubiri kukamilika kwa vyumba 3 vya madarasa.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa