Wanafunzi 48 wapangwa kwa awamu ya pili katika shule ya sekondari ya Uraki baada ya chumba kimoja cha darasa kukamilika.
Aidha, Jumla ya Wanafunzi 142 walifaulu na kuchaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari Uraki, kwa mchanganuo wa Wav 78, Was 64. Wanafunzi 48 hawakuchakuliwa kutokana na ukosefu wa chumba kimoja cha Darasa.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa