• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WANAFUNZI LITA WATAKIWA KUJIAJIRI

Imewekwa: October 28th, 2021

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki ametoa wito kwa Wakala wa Vyuo vya mafunzo ya mifugo (LITA) kuongeza wigo wa utoaji Mafunzo kwa wafugali ili wawe na mtizamo wa  kufuga  kisasa na kupata  faida zaidi.

Mhe. Ndaki amesema hayo alipotembelea LITA kampasi ya  Tengeru,Wilayani Arumeru  ambayo ni miongoni mwa kampasi nane nchin, ambapo  ameihimiza LITA mbali na kutoa Mafunzo kwa Wanafunzi, iweke pia mazingira rafiki na rahisi ya  utoaji  elimu  kwa wafugaji ili waelewe na kufanya ufugaji  wa kisasa  wenye tija kwa mfugaji  na katika  uchumi wa Taifa"ufugaji unaenda pamoja na malisho hivyo LITA tumieni mashamba darasa yenu kuwaelimisha wafugaji upandaji wa malisho ya mifugo yao "amehimiza Mhe.Ndaki

Vilevile Mhe.Ndaki ametoa wito kwa LITA kuwajenga  wanafunzi wa Vyuo vya mifugo  katika misingi ya  kujiajiri pindi watakapo hitimu ili kuwa na wafugaji wenye ujuzi katika jamii ambao  watahamasisha ufugaji wa kisasa  na Wenye tija zaidi

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhandisi, Richard Ruyango amepongeza LITA Tengeru kwa kutumia mapato yake ya ndani kuboresha miundombinu , ikiwa ni pamoja na ujenzi wa hosteli ya wanafunzi wa kike iliogharimu Milioni 166.3 ambayo imezinduliwa na Mhe.Waziri Ndaki"kipekee niwapongeze Sana LITA Tengeru kuongeza mapato yake ya ndani kutoka Bilioni 3 hivi hadi kufikia zaidi ya Bilioni 4 "amesema Ruyango

Meneja wa LITA Tengeru Janeth Bendera amesema mbali na mafanikio makubwa ya kuwa na ongezeko la wanafunzi wanaojiumga na LITA Kampasi ya Tengeru  kutoka 657 mwaka 2018/2019 hadi 1,579 Mwaka 2020/2021 Kuna upungufu wa  miundombinu  na mingi ni chakavu .

Aidha Mhe.Ndaki mbali na kuzindua Bweni la  wanafunzi 80 wa kike , ametembelea ujenzi wa vyumba vya Madarasa ,ukarabati  mkubwa wa Maabara mbili za parasatioloji na multipurpose pamoja na eneo la upandaji malisho ya mifugo .



Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa