Afisa anaeshughulikia Maswala ya Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Edward Bujune amewataka Wananchi hususani wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuwa tayari kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mara tu zoezi hilo litakapo tangazwa kuanza.
Bujune amesisitiza kuwa kwa wale wenye sifa za kugombea wasisite kuchukua fomu za maombi na wengine wajitokeze kwenda kuchagua viongozi Bora na wanao wahitaji.
Amezungumza hayo katika studio za Radio Triple A Fm 88.5 zinazopatikana Jijini Arusha
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa