Afisa anaeshughulikia Maswala ya Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Edward Bujune amewataka Wananchi kutopuuza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani safu ya chini kabisa ndio Msingi wa uongozi.
Bujune ameyasema hayo leo katika studio za Radio Triple A Fm 88.5 iliyopo Jijini Arusha.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa