Wasimamizi wa Vituo vya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru mapema hii Leo wakula kiapo cha utii na uaminifu cha kwenda kusimamia Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024
Sambamba na kiapo hicho wasimamizi hao wa Vituo wamepewa Semina ya mafunzo yatakayo wasaidia katika utekelezaji wa majukumu katika kuhakikisha haki na kanuni, taratibu na Sheria zilizowekwa zinazingatiwa
"Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi Jitokeze kushiriki Uchaguzi "
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa