Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru,Wilayani Arumeru tunaungana na Watumishi wengine wa Umma kukushukuru Mhe.Samia Suluhu Hassani ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuridhia ongezeko la asilimia23.3% ya mshahara, hakika kazi iendeleee
Neema za awamu ya sita kwa watumishi wa Meru,tulishaanza kunufaika
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa