• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

"WATUMISHI WA UMMA ZINGATIENI MAADILI "KAULI YA KATIBU TAWALA ARUMERU

Imewekwa: October 26th, 2018

Katibu Tawala Wilaya ya Arumeru Mwl.James Chembe wakati wa kikao cha ushauri cha Wilaya hiyo amewakumbusha watumishi wa Serikali Wilayani humo kuzingatia maadili ya utumishi wao katika kutekeleza majukumu yao.

Mwl.Chembe ameongeza kuwa mtumishi wa Umma anawakilisha utumishi wake kwa kuzingatia maadili  kuanzia muonekano yaani mavazi sambamba na matumizi ya lugha sahihi kwenye utoaji huduma.

Aidha Mwl Chembe amesema ni vyema watumishi kuwa makini wakati wa utatuzi wa migogoro ikiwa ni pamoja na kufahamu historia ya mgogoro hiyo ili kuepuka kutengeneza migogoro itokanayo  na utatuzi.

kikao cha ushauri Wilaya  Arumeru (DCC) kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, wajumbe wake wakiwa ni wenyeviti wa Halmashauri ya Meru na Arusha Vijijini, wenyeviti wa vyama vya siasa Halmashauri ya Meru na Arusha Vijijini, Wakurugenzi wa Halamshauri ya Meru na  Arusha Vijijini, wakuu wa Idara na Vitengo wa Halamshauri ya Meru na  Arusha Vijijin, Makatibu Tarafa na Watendaji wa kata na Kiiji toka Halmashauri Mbili .

Ikumbukwe kuwa Wilaya ya Arumeru ina Halmashauri mbili ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Halmashauri ya Arusha vijijini.

Katibu Tawala Wilaya ya Arumeru Mwl.James Chembe akizungumza wakati wa kikao cha ushauri cha Wilaya hiyo( DDC).

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Arusha vijijini wakati wa kikao cha DDC.

Makatibu Tarafa wa Halmashauri ya Meru wakati wa kikao cha DCC.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Arusha vijijini wakati wa kikao cha DDC.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Arusha vijijini wakati wa kikao cha DDC.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Arusha vijijini wakati wa kikao cha DDC.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakati wa kikao cha DDC.

watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Arusha vijijini wakati wa kikao cha DDC.


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE SEMINA YA MAFUNZO YA UCHAGUZI MKUU 2025 October 16, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • DED MERU DC AKABIDHI VYETI KWA TAASISI ZINAZO FANYA VIZURI MERU DC

    August 07, 2025
  • TFS YATOA MSAADA WA MBAO TAKRIBANI MIA 8 HOSPITALI YA WILAYA YA MERU

    August 07, 2025
  • MERU DC YAIBUKA MSHINDI WA PILI MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI

    August 08, 2025
  • UZINDUZI WA JENGO LA TEHAMA SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUM

    August 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa