• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WITO WATOLEWA KWA WALIMU KUTEKELEZA WAJIBU WAO

Imewekwa: September 11th, 2021

Kata ya Ngarenanyuki,

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya  ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya ametoa wito kwa Walimu Kutekeleza wajibu wao Ili uboreshaji wa miundombinu ya elimu iwe na tija katika ujifunzaji na ufundishaji.

Mwl.Makwinya ametoa wito huo alipotembelea Shule ya Sekondari ya Momela kukagua vyumba 4 vya Madarasa ambavyo vimejengwa kwa michango ya Wananchi, wahisani na Halmashauri ilichangia mbao na bati, Mradi  wa  vyumba 2 vya Madarasa ya  EP4R pamoja na ujenzi wa chumba kimoja Cha darasa kwa nguvu za kikundi Cha kimila.

Mwl.Makwinya amesema  ni muhimu kwa Walimu kuitendea haki michango ya Serikali na Nguvu za  Wananchi kwa kuwajibika kwa weledi ili mtoto wa kitanzania aweze kupata Elimu itakayo mnufaisha.

Diwani wa Kata ya Ngarenanyuki Mhe.Aminiel Mungure ameishukuru Halmashauri kwa kutoa bati na mbao na kuomba kukamilisha nyumba ya mwalimu.

Vilevile .Mhe.Mungure amewapongeza Walimu kwani kwa sasa Shule hiyo inafanya vizuri kitaaluma.

Aidha, Kata ya Ngarenanyuki  ni Miongoni mwa Kata saba ambazo  Mkurugenzi Zainabu amefanya ziara ya kukagua  na  kutembelea utekelezaji wa  miradi ya EP4R ,Miradi ya Nguvu za wananchi na michango ya wahisani,miradi ya TASAF pamoja na maboma ya muda mrefu ,ambapo aliambatana na Afisa Elimu Sekondari  pamoja na Waandisi wa Ujenzi toka  Halmashauri.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya  ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya akiwasili Shule ya Sekondari Momela Kata ya Ngarenanyiki.

Picha ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya (wa tatu kutoka kushoto) na Diwani wa Kata ya Ngarenanyuki .Aminiel Mungure pamoja (kulia), viongozi,Walimu na Wanachi wakati wa ukaguzi wa vyumba 4 vya Madarasa 

Ujenzi wa vyumba Viwili (2)vya Madarasa ya EP4R katika Shule ya Sekondari Momela

Maabara katika Shule ya Sekondari Momela

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa