• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

ZIARA YA KAMATI YA SIASA WILAYA YA MERU YAKAMILIKA SIKU YA KWANZA

Imewekwa: June 28th, 2021

Kamati ya Siasa Wilaya ya Kichama ya Meru imekamilisha ziara yake kwa siku ya kwanza ambapo imetembelea miradi ya Sekta za Afya, Elimu na Uchumi na Uzalishaji Mali.


Kamati imepongeza utekelezaji wa Ilani katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru na kutoa Maagizo ikiwemo wataalam kuhakikisha  wanatoa elimu ya kutosha ya ujasiriamali kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu vinavyonufaika na mikopo isiyo na riba inayotolewa na Halmashauri. Kamati imetoa rai kwa Vikundi kutumia fursa hiyo kujikwamua kiuchumi.


Aidha, Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu vimehamasishwa kutumia mikopo  kujiletea maendeleo na kuhakikisha vinarejesha mikopo ili Wananchi wengine waweze kunufaika.


Kamati imewataka Watumishi wa Afya kuhakikisha wanatunza nyumba zilizojengwa na Serikali ili ziweze kutumika kwa muda mrefu.


Aidha, Wataalam wa ujenzi wa Halmashauri wamepewa maelekezo kuhakikisha kuwa wanafanyq ukaguzi wa mara kwa mara wa majengo yote hata yale yaliyokamilika ili kuendelea kutoa ushauri katika ukarabati na utunzaji wake.


Kamati ya Siasa imetoa Wito kwa Wataalam wa Sekta ya Afya kuwahudumia wananchi kwa weledi, kwani sekta ya Afya ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa na kusisitiza  ushirikiano kati ya Watendaji wa Kata  na Waheshimiwa Madiwani katika kuwaletea Wananchi maendeleo


Katika siku ya kwanza Kamati ya Siasa imetembelea miradi ya  ujenzi wa chumba cha maabara katika zahanati ya Kimundo, ujenzi wa nyumba ya mtumishi katika zahanati za Mulala na Kilinga, Kumtembelea vikundi vya Wanawake  vya Tikusare na Shukuru, kukagua ujenzi wa Vyumba  vya madarasa katika Shule za Msingi Kilimani, Kikatiti na Kitefu .



Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE SEMINA YA MAFUNZO YA UCHAGUZI MKUU 2025 October 16, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • DED MERU DC AKABIDHI VYETI KWA TAASISI ZINAZO FANYA VIZURI MERU DC

    August 07, 2025
  • TFS YATOA MSAADA WA MBAO TAKRIBANI MIA 8 HOSPITALI YA WILAYA YA MERU

    August 07, 2025
  • MERU DC YAIBUKA MSHINDI WA PILI MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI

    August 08, 2025
  • UZINDUZI WA JENGO LA TEHAMA SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUM

    August 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa