Waheshimiwa Madiwani na Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango wakikagua Soko la Tengeru ikiwa ni ufuatiliaji wa utekelezaji wa Miradi kwa kipindi cha Mwezi Julai hadi Septemba 2024 kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.
Ziara hiyo imeongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Jeremia Kishili.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa