Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwa lengo la kutoa maelekezo kwa Halmashauri kuanza matumizi ya kupima utendaji kazi wa Watumishi wa Umma na Taasisi za Umma pamoja na mfumo maalum wa tathmini ya hali ya Rasilimali watu Serikalini.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa