ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI HALMASHAURI YA TANGANYIKA
Imewekwa: December 20th, 2024
Waheshimiwa Madiwani wakiwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi tayari kuianza safari kuelekea Halmashauri ya Tanganyika kwa lengo la kujifunza biashara ya hewa ukaa