• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za ugombea lakamilika vizuri katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.

Imewekwa: November 4th, 2019

Msimaamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Meru , Jonathani Kiama amesema zoezi la kuchukua na kurejesha Fomu za wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa Kijiji, ujumbe wa Halmashauri ya Kijiji kundi mchanganyiko, Ujumbe wa Halmasshauri ya kijiji kundi la wanawake na unyekiti wa Kitongoji katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Mamlaka ya Mji mdogo wa Usa- River limeenda vizuri ambapo wagombea wa Vyama mbalimbali wameweza kuchukua na kurejesha fomu.

Aidha Kiama amesema katika zoezi hilo kumekuwa na changamoto kutoka kwa baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa kutoa taarifa za upotoshaji kuhusiana na zoezi zima la kuchukua na kurejesha fomu ,mfano taarifa zilizotolewa zikieleza kuwa, Wasimamizi wasaidizi katika Vijiji vya Sura na Kilinga vilivyopo Kata ya Songoro kutokwepo Ofisini jambo ambalo si kweli kwani alipofika katika vijiji hivyo aliwakuta wasimamizi wasaidizi wakiendelea na zoezi la kutoa na kurejesha fomu za ugombe kwa Vyama mbalimbali .

Kiama ameeleza kuwa baada ya zoezi la kuchukua na kurejessha fomu za ugombea kukamilika leo tarehe 04 Novemba 2019 Saa 10:00 kamili jioni , zoezi linalofuata ni zoezi la uteuzi wa wagombea wa nafasi  ya Uenyekiti wa Kijiji, Ujumbe wa Halmashauri ya kijiji kundi mchanganyiko, ujumbe wa Halmashauri ya kijiji kundi la Wanawake,Unyekiti wa Kitongoji

Zoezi la uteuzi litafanyika Kesho tarehe 05 Novemba 2019 , hii ni kwa mujibu mujibu wa jedwali la matukio ya uchaguzi lillilotolewa katika Muongozo wa uchaguzi wa viongozi wa ngazi za Vijiji, Vitongoji na Mitaa utakao fanyika terehe 24 Novemba 2019.

 

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa