Maendeleo ya ujenzi wa chumba kimoja (1) Cha darasa Shule ya Sekondari Sing'isi ,mradi unaogharimu Tsh.Milioni 20,fedha za mkopo wa riba nafuu kutoka shirika la fedha Duniani,ikiwa ni Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO -19