Maendeleoya ujenzi wa vyumba viwili (2) vya madarasa Shule ya Sekondari Kikwe ,mradi unaogharimu Tsh.Milioni 40,fedha za mkopo wa riba nafuu kutoka shirika la fedha Duniani,ikiwa ni Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO -19