*ZIARA*
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndg. JERRY MURO,pamoja na Mbunge wa Arumeru mashariki Mhe, Dkt. JOHN D PALLANGYOwakiwa wanaagana na wageni wao kutoka Nchi ya Ujerumani katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Aidha Wageni hao wamekubali kufanya Harambee Wakiwa Nchini kwao Ujerumani itakayowezesha ujenzi wa bweni la wanafunzi katika Shule ya sekondari Nkwasenga iliyopo Halmashauri ya Meru wilaya ya Arumeru.
Aidha.haya ni mafanikio makubwa kutokana na mahusiano na utendaji wa Viongozi katika wilaya hiyo.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa