Imewekwa: August 1st, 2018
Mkuu mpya wa wilaya ya Arumeru, mheshimiwa Jerry Muro leo amepata fursa, kujitambulisha kwa watumishi wa Halmashauri ya Meru , utambulisho huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri...
Imewekwa: July 25th, 2018
wafanya biashara wa soko la Tengeru Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameunga mkono zoezi la kuwaondoa wafanya biashara wa mazao barabarani kwa kuwaingiza katika eneo la soko.
...
Imewekwa: July 16th, 2018
Shule ya Sekondari Kisimiri iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Mkoani Arusha imefanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha sita kwa kushika nafasi ya pili kitaifa kati ya shule 54...