Imewekwa: September 9th, 2022
Diwani Viti maalum Tarafa ya Poli (CCM), Mhe.Felista Nanyaro amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Meru kwa kupata kura za ndiyo za ...
Imewekwa: September 8th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru inatarajia kutengeneza meza Mia sita kwa ajili ya wafanyabiashara wa soko la Tengeru ikiwa ni mikakati ya uboreshaji wa miundombinu ya masoko na u...
Imewekwa: September 6th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya amewata Watendaji wa Kata wa Halmashauri hiyo kutekeleza majukumu yao ipasavyo ili kuiwakilisha vyema Serikali ikiwa ni ...