Imewekwa: August 7th, 2022
Halmashauri ya Meru imeungana na mataifa mengine , kuadhimisha wiki ya Unyonyeshaji Dunia, kwa kuikumbusha jamii umuhimu wa unyonyeshaji maziwa ya mama kwa watoto wachanga na lishe bora kwa mama...
Imewekwa: August 8th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Meru yaibuka msindi wa kwanza kati ya halmashauri zote za Kanda ya Kaskazini kwa kuwa na banda lenye mifugo bora zaidi Maonesho ya nanenane ambapo imezawadi...
Imewekwa: August 8th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya akiwa na kikombe cha ushindi mara baada ya halmashauri hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kati ya halmashauri zote za ...