Imewekwa: September 11th, 2017
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Meru Christopher J. Kazeri amewataka washiriki wa mafunzo ya FFARS katika idara ya Afya kuwa wasikivu na kushirikiana ili kuelewa mfumo huo wa uhasibu wa utoaji t...
Imewekwa: September 4th, 2017
Tarehe 04 Septemba 2017 Halmashauri ya Meru ilipokea mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Arusha na kuukimbiza katika tarafa zote tatu (Poli,Mbuguni na King’or) kwa urefu wa kilometa 92 ,umbali kutok...
Imewekwa: August 18th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Meru ilipokea shilingi 177,765,163.33.00 kutoka TASAF makao makuu kwa ajili ya Malipo na Usimamizi wa malipo hayo kwa walengwa 5,553 wa Mpango wa kunusuru kaya maskini katika ...