Imewekwa: January 7th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Kimanta,amepongeza juhudi za ukamilishaji wa vyumba vya madarasa katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru Wilayani Arumeru.
Hayo yamejiri wakati wa ziara yake y...
Imewekwa: January 5th, 2021
Halmashauri ya Wilaya Meru kupitia fedha za mapato yake ya ndani (Own Source) imetumia zaidi ya Shilingi Milioni 160 kununua vifaa vya ujenzi. Vifaa hivyo vinajumuisha Bati 1860 yaliyonunu...