Imewekwa: July 25th, 2018
wafanya biashara wa soko la Tengeru Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameunga mkono zoezi la kuwaondoa wafanya biashara wa mazao barabarani kwa kuwaingiza katika eneo la soko.
...
Imewekwa: July 16th, 2018
Shule ya Sekondari Kisimiri iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Mkoani Arusha imefanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha sita kwa kushika nafasi ya pili kitaifa kati ya shule 54...
Imewekwa: June 11th, 2018
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Wiaya ya Meru Mwl.Sara Kibwana amesema Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeibuka mshindi wa kwanza na wa jumla ngazi ya Mkoa kwenye mashindano ya Umoja wa...