Imewekwa: June 17th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mheshimiwa Jerry Muro, anawatangazia wananchi wote kushiriki katika Mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru 2021 katika wilaya ya Arumeru.
Mwenge wa UHURU 2021 utawas...
Imewekwa: June 5th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongela ameridhishwa na mradi wa ujenzi wa Vyumba vinne vya Madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kikwe Wilayani Arumeru, Halmashauri ya Meru wenye thamani ...
Imewekwa: June 1st, 2021
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi, amesema Serikali imefuta Shamba la Valeska lenye ekari 4087 kwa manufaa ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Aidha, ...