Imewekwa: January 11th, 2018
Halmashauri ya Meru wilaya ya Arumeru imeshika nafasi ya Tano kitaifa na ya kwanza kimkoa na kuzibwaga halmashauri zote sita za mkoa wa Arusha katika matokeo ya kidato cha pili yaliyotoka mapema wiki ...
Imewekwa: January 10th, 2018
Mkuu wa Idara ya mifugo Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Amani Sanga amesema zoezi la upigaji chapa mifugo (Ng'ombe) kwa Halmashauri hiyo linaendelea ambapo mpaka sasa jumla ya Ng'ombe elfu 8,...
Imewekwa: January 9th, 2018
Katibu Tawala wa Wilaya ya Arumeru Timotheo Mzava amesema kuwa Serikali imetoa kiasi cha milioni 500 kwa ajili ya uboreshaji wa kituo cha Afya cha Usa-River kwa lengo la kusogeza hud...