Imewekwa: March 20th, 2018
Sh.milioni 175,380,000 Kuzinufaisha jumla ya Kaya 5,526 za walengwa wanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) awamu ya III kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru .
Manufaa hayo...
Imewekwa: March 19th, 2018
Muonekano wa sasa wa kituo cha Afya Usa - River ni matumaini ya utatuzi wa upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi wa Kata ya Usa- river,muonekano huu unatokana na ujenzi wa ...
Imewekwa: March 19th, 2018
Watendaji wa Kata kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru wamepewa semina kuwajengea uwezo ili kuzingatia mabadiliko ya tabia ya nchi katika uandaaji wa mipango ya maendeleo jambo litakalo punguza ...