Imewekwa: July 20th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Eng.Richard Ruyango amewataka Viongozi na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuongeza ushirikianao na kuchapa kazi kwa bidii sambamba na kusikiliza na kutatua k...
Imewekwa: July 16th, 2021
Uongozi wa Kijiji cha Imbaseni waiomba Serikali kusajili Shule ya Sekondari iliyoanzishwa na Wananchi wa Kijiji hicho ambapo wamejenga vyumba Vinne vya Madarasa vilivyofikia hatua ya lenta...
Imewekwa: July 10th, 2021
Shule ya Sekondari Kisimiri iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru yashika nafasi ya kwanza katika matokeo ya Mtihani wa kuhitimu kidato cha sita Mwaka 2021.
...