Imewekwa: October 7th, 2023
Wananchi wa Kata ya Mbuguni, Shambarai Burka, Majengo, Makiba na Maroroni wamepatiwa elimu ya tahadhari ya majanga ya Mvua kubwa za El Nino zinazoweza kutokea kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ...
Imewekwa: September 18th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya ametembelea Soko jipya la Maji ya Chai kuangalia maendeleo ya Soko hilo.
Mwl. Makwinya ametembelea Soko hilo leo ambalo...
Imewekwa: September 15th, 2023
Taasisi ya Saidia Tanzania Community Foundation (SATACOFO) yatoa msaada wa vifaa vya michezo kwa ajili ya wanafunzi waliopo katika shule za Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Mfadhili wa Taasisi hiyo B...