Imewekwa: January 30th, 2018
Madiwani watano walioshinda kwenye uchaguzi mdogo wa Madiwani kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru uliofanyika tarehe 26 Novemba 2017 waapishwa na kuungana na madiwani wenzao kwenye Mkutan...
Imewekwa: January 24th, 2018
Watendaji wa Vijiji na Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru watakiwa kutekeleza wajibu wao kisheria kwa kuhakikisha kuwa watoto wote wenye umri wa kwenda shule wanaandikishwa waliopo mashuleni wanahu...
Imewekwa: January 16th, 2018
Idadi ya Mifugo (Ng'ombe)iliyopo kwenye Halmashauri ya Meru yapungua, hayo yamebainishwa na Mkuu wa Idara ya Mifugo kwenye Halmashauri hiyo Dkt.Amani Sanga amesema "Makadirio ya idad...