Imewekwa: July 22nd, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 22, 2024 amefanya Kikao Kazi na Kamati za Usalama za Mikoa na Wilaya Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa ngazi ya Mikoa.
...
Imewekwa: July 20th, 2024
KWAHERI MWENGE WA UHURU MERU.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya amemkabidhi Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Ndugu Suleiman Msumi Mwenge wa Uhuru b...
Imewekwa: July 19th, 2024
fungua hapa kupata video,☝️Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda Mwenge wa Uhuru kwa mwak...