Imewekwa: August 12th, 2018
Ndg. Charles Loiyandoi Nnko ,ambaye ni mgombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) aibuka mshindi wa uchaguzi mdogo Wa Diwani Kata ya Songoro uliofanyika leo .
Ushindi huo ni mara baada ya msi...
Imewekwa: August 10th, 2018
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru amewataka watumishi wa Kituo cha Afya cha Usa-River, kuwahudumia wagonjwa wanaofika kituoni hapo kwa kuzingatia maadili ya utabibu yanayo sisitiza kutoa hud...
Imewekwa: August 10th, 2018
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Christopher Kazeri wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wa vituo vya Kupiga Kura na wasaidizi wao, wa Ucha...