Imewekwa: July 16th, 2018
Shule ya Sekondari Kisimiri iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Mkoani Arusha imefanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha sita kwa kushika nafasi ya pili kitaifa kati ya shule 54...
Imewekwa: June 11th, 2018
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Wiaya ya Meru Mwl.Sara Kibwana amesema Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeibuka mshindi wa kwanza na wa jumla ngazi ya Mkoa kwenye mashindano ya Umoja wa...
Imewekwa: June 3rd, 2018
Naibu waziri Ofisi ya Raisi TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege ameridhishwa na matumizi ya fedha kwenye ujenzi na uboreshaji wa Kituo cha Afya Usa- River na kueleza kuwa thamani ya fedha imeon...