Imewekwa: September 22nd, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Meru, mapema hii leo, imekabidhi jumla ya vishikwambi 30 vilivyo tolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa Maafisa Mifugo wa kata na vijiji . Zoezi hilo limefanyika katika Ofisi...
Imewekwa: September 18th, 2025
Halmashauri ya wilaya ya Meru imefanikiwa kutoa mafunzo ya Ujasiriamali Kwa Vikundi vyawanawake mbalimbali.
Kikundi cha wanawake wajasiriamali NEW HOPE GROUP kutoka Kata ya Nkoaranga Halmashauri ya...
Imewekwa: September 20th, 2025
Mapema hii Leo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu Makwinya ameongoza Wananchi, Wadau wa Mazingira pamoja na watumishi mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya Usafishaji Dunia...